Friday, 5 January 2018
Thursday, 4 January 2018
KISWAHILI NJE YA AFRIKA MASHARIKI
Kiswahili kufundishwa vyou vikuu vya Marekani, kutokana na mahitaji ya
lugha ya kiswahili nchini marekani, katika shughuli zao haswa shughuli za
kiuchumiKutokana na kuanzishwa kwa lugha za Kiafrika katika elimu ya juu, vyuo
vinavyofundisha, lugha ya Kiswahili Marekani vimeongezaka kufikia zaidi ya
hamsini. Kwa sababu tofauti kama vile,
ujuzi wa kufundisha, mbinu za kufundisha, na hata kukua kwa progamu zenyewe.
Kuchapishwa kwa vitabu vyakufundishia. Swala la kuchapishwa kwa vitabu
vya kufundishia kiswahili nchini Marekani, liliweza kuleta msukumo mkubwa wa
lugha ya Kiswahili kuweza kushika nafasi nzuri ukilinganisha na mwanzoni kasi
ya lugha ya Kiswahili ilikua ndogo kutokana na kukosa mashiko,
Mahitaji ya wafanyakazi wa kufundisha lugha ya Kiswahili. Wizara ya
mambo ya Kigeni ya Marekani ilihitaji wafanyakazi wa kuhudumu katika bara la
Afrika ili kukizi mahitaji yake katika shughuli zao walizokua wanazihitaji,
Mbinu hizi zilitayarishwa na kupendekezwa na Baraza la Amerika la Ufundishaji
wa Luhga za Kigeni (American Council on the Teaching of Foreign
Languages-ACTF). Mapendekezo haya yalikubaliwa na wote waliohusika na
utekelezaji wake ukaanza mara moja.
MAWASILIANO
Kuongezeka kwa nchi nyingi dunia zinazotumia lugha Kiswahili katika
mawasiliano na kuhitaji wataalamu wa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya watu wao
kujifunza Kiswahili mfano Botswana, Libya, Malawi na Afrika Kusini. Nchi hizi
zimevuyiwa na lugha ya Kiswahili na kuweza kutumia kama njia ya mawasiliano.
Kutumia kiswahili katika Muziki, wasanii mbali mbali kutoka nje ya
Afrika Masharikia wanatumia lugha ya Kiswahili katika kutumbuiza wasikilizaji
pamoja na kufikisha ujumbe wao katika jamii na kutambulisha utamadumi wao,
Mfano "Marehemu Miriam Maakeba" Kutoka Afrika Kusini
Kuundwa kwa vifaa za
kunasia sauti kwa ajili ya mafunzo ya lugha ya Kiswahili. Mfano wa vifaa ivyo
kama vile kanda za kunasia sauti na Kompyuta.Kuna vyuo kadha ambavyo
vimejitahidi kuimarisha programu za lugha za Kiswahil. Baadhi ya vyuo hivi ni(
Yale, Harvard), UCLA, Chuo kiuu cha Indiana (Bloomington), Chuo
Subscribe to:
Posts (Atom)
sffjrklrpllll.f.k,f
-
Inakubid uelewe na jinsi gani unaweza kujisomea ukiwa mwenyew bila ya bugza. Kuna njia inakubidi uzifuate ikiwezkana km vilee